Wizara ya malazi na makazi DARUSO MUCE 2013/2014 inapenda kuwatangazia
1. wale wote wanaotaka kukaa ndani (In campus) kwa semester ya pili kuanzia March 2014 Vyumba vinapatikana. N;B wale waliopata vyumba semester ya kwanza wataendelea kukaa kwenye vyumba vyao hivyo hamna haja ya kuomba tena, ila ni kulipia tu. wasiliana na WAZIRI WA MALAZI NA MAKAZI KISALO DAUDI0757 457 315.
2. Pia unakumbushwa kuwa Hakikisha umerudisha mali ya chuo kwa warden kabla hujaondoka ikiwemo funguo na Godoro. Ndipo upate Get pass.
3. Kwa Wale watakaokaa ndani ya chuo wakati wa likizo gharama ni Tsh 1000/= kwa siku moja (gharama hii ni kwa ajili ya likizo tu).
Kama unahitaji Chumba ndani ya chuo (in
campus) wasiliana na WAZIRI WA MALAZI NA MAKAZI KISALO DAUDI
0757 457 315.
Imetolewa na waziri wa Habari DARUSO MUCE
Agustino Alpha
No comments:
Post a Comment