Monday, January 27, 2014

DARUSO MUCE INAWASHUKURU WOTE WALIOJITOKEZA KATIKA SHUGHULI YA MSIBA WA FRANK EDSON MWANSANSU

Ofisi ya Rais DARUSO MUCE 2013/2014 Inapenda kutoa shukrani za dhati kwa Wanajumuiya ya Chuo Kikuu cha Mkwawa Ikiwemo Wanachuo, Wahadhiri na wafanyakazi Wengine wa Chuo katika Shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Frank Edson Mwansasu BAED mwaka wa Pili LL LT zilizofanyika Tarehe 23.1.2014 Katika ukumbi wa AH. Mungu awabariki kwa kuchangia kwenu kwa hali, mali na muda. Mungu alitoa, Mungu Ametwaa Jina lake Lihimidiwe. (Katika picha ni waombolezaji, Picha na Waziri wa habari)

















Imetolewa na waziri wa habari DARUSO MUCE 2013/2014
Agustino, Alpha

No comments:

Post a Comment