Thursday, January 23, 2014

TAARIFA YA MSIBA WA MWANACHUO FRANK EDSON MWANSASU

Waziri wa Ulinzi, Majanga na off campus affairs DARUSO MUCE 2013/2014
  ANASIKITIKA kutangaza kifo cha Mwanachuo Mwenzetu Frank Edson Mwansasu (BAED) Mwaka wa pili LL LT Mwenyeji wa TUKUYU MBEYA. Kilichotokea jana usiku (Jumatano) 22.1.2014. katika kituo cha afya MUCE. Mipango ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika leo AH kuanzia saa 4:30 Asubuhi, Leo  Alhamisi 23.1.2014. hivyo wanajumuiya wote wa chuo kikuu tunaombwa kushiriki kwenye shughuli hii kuaga mwili wa marehemu. Bwana Ametoa, Bwana ametwa.. Jina lake Lihimidiwe. 



 Picha hapo juu ni za Frank Edson Mwansasu-enzi za uhai wake
Imetolewa na Waziri wa habari na Mambo ya Nje Daruso MUCE 2013/2014. Agustino Alpha M.

1 comment: