Monday, January 27, 2014

PICHA ZA BUNGE LA DARUSO MUCE KATIKA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

Bunge la maswali na majibu daruso muce 2013/2014 lilifanyika tarehe 25.1.2014 ambapo maswali ya msingi 9 na maswali ya nyongeza 18 yalijibiwa moja kwa moja bungeni. maswali mengine mawaziri waliagizwa na Naibu spika watoe majibu kwa njia ya maandishi au kukutana na wabunge waliouliza maswali. Picha na Ikenda Ambele Naibu waziri wa Habari











No comments:

Post a Comment