Sunday, March 23, 2014

DARUSO MUCE BONANZA

Waziri wa Michezo DARUSO MUCE anawatangazia Bonanza la michezo mbalimbali litakalofanyika katika Viwanja vya CHUO KIKUU CHA MKWAWA kuanzia Jumanne Tarehe 25.3. 2014. kwa  Pool Table, Draft, Table tennis. na Tarehe 27.3.2014 Football,Volleyball na Basketball. Jumla ya Michezo hiyo ni;

1. Mpira wa miguu- English Primier League Funs
2. Volleyball Wanawake
3. Volleyball Wanaume
4. Pool Table
5. Draft
6. Table Tennis 
7. Basket

Kwa mawasiliano
Chelsea Fans- Manyasi 0762 552 999
Manchester Fans- Tissian Tass (Ngosha) 0766 212 449
Liverpool Fans- Lusajo 0768 548 932
Arsenal Fans- Said 0757 697 461
Volleyball Wanawake- Madam Mushi 0688 745 137
Volleyball Wanaume-  Kaimbe 0752854015
Pool Table- Richard Matokeo 0789 468599
Draft- Komba 0715 568 982
Table Tennis- Idd 0769 886398
Basket Ball- Masebo  0755 189746

Imetolewa na waziri wa HABARI- ALPHA AGUSTINO

No comments:

Post a Comment