From ministry of FOREIGN AFFAIRS AND INFORMATION PUBLICITY DARUSO MUCE 2014/2015
AMRI MUSTAPHA-Minister,
MOSHI CHRISTINA- Deputy Minister
Monday, May 26, 2014
WACHEZAJI WA VOLLEYBALL WAKIONGEA NA CAPTAIN WAO KAIMBE, JOSE HUKO TUMAINI
Wachezaji wa muce wa timu ya volleyball wakiwa tumaini katika mechi yao na watani wao wa Tumaini jana Tumaini ilishinda swet tatu kwa mbili Imetolewa na Waziri wa HABARI AMRI MUSTAPHA
No comments:
Post a Comment