WAZIRI WA MICHEZO ANAWATANGAZIA WANA MUCE WOTE KWAMBA, KESHO TAREHE 25/05/2014 KUTAKUWA NA MECHI KATI YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI PAMOJA NA CHUO CHA MKWAWA ITAKAYO FANYIKIA KATIKA VIWANJA VYA TUMAINITANGAZO TANGAZO
MICHEZO ITAKAYOCHEZWA NI PAMOJA NA
(I) FOOTBALL
(II) VOLLEYBALL
(III) NETBALL
NJOO TUONE AKINA NANI WATAKUWA MAN OF THE MATCH
Imetolewa na waziri wa habari AMRI MUSTAPHA
No comments:
Post a Comment