Tuesday, April 08, 2014

KONGAMANO LA KITAALUMA MUCE



KONGAMANO
WIZARA YA ELIMU DARUSO MUCE 2013/2014. Inapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na kongamano la kitaaluma Jumamosi Tarehe 12.4.2014 Saa 3:00 Asubuhi katika ukumbi wa AH.
MADA: “Nini suluhisho la matatizo ya Sekta ya Elimu Tanzania”
WAGENI WAALIKWA:
Ø Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salam
Ø Walimu kutoka shule Jirani
Ø Wanachuo
Wanajumuiya wote wa chuo kikuu cha mkwawa na wananchi mnakaribishwa kuhudhuria KONGAMANO HILO.
Taarifa zaidi:
Waziri wa Elimu 0752889685
Facebook: Daruso Muce
Facebook Group: MKWAWA UNIVERSITY DARUSO



Imetolewa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Habari
AGUSTINO, ALPHA M. 0755202196

No comments:

Post a Comment