Yale mashindano ya Mashabiki wa timu za uingereza yafana sana, yanayoendelea katika viwanja vya chuo kikuu cha mkwawa
Matokeo ya Round ya kwanza ni
Manchester 8- 0 Arsenal
Chelsea 2- 3 Liverpool
Imetolewa na waziri wa habari
Alpha agustino
No comments:
Post a Comment