Sunday, June 08, 2014

TANGAZO.............TANGAZO............TANGAZO

OFISI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA BORA INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WA MUCE KUWA STUDENT BY LAWS AND CONSTITUTION ZINAPATIKANA DARUSO STATIONARY PIA INAOMBA MZISOME ILI KUWEZA KUZIELEWA NA KUZIFAHAMU SHERIA HIZO
BY AMRI MUSTAPHA WAZIRI WA HABARI

No comments:

Post a Comment