Wednesday, December 11, 2013

TANGAZO KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU NA RAISI DARUSO MUCE 2013/2014

Taarifa kwa wanachuo wote wa chuo kikuu cha MKWAWA
 Kutokana na safari ya kiofisi ya Raisi, Makamu wa Raisi na Waziri Mkuu  DARUSO MUCE 2013/2014 Nje ya Chuo kuanzia Tarehe 10.12.2013 hadi Jumanne Tarehe 17.12.2013. Kazi katika ofisi tajwa hapo juu zitafanywa na watu wafuatao hadi watakaporudi:-


OFISI YA RAISI ITAKUWA CHINI YA Mh. Jonas Ephraem- Waziri wa Elimu (Katika Picha)

2.OFISI YA WAZIRI MKUU Itakuwa chini ya Mh. Andembwisye Israel-Waziri wa Katiba na Utawala Bora(Katika Picha hapo chini)


Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nao kwa Namba hizi

Kaimu Raisi,Mh. Jonas Ephraem  0752 889 685

Kaimu Waziri Mkuu, Mh. Andembwisye Israel 0764 969 838
Imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Habari DARUSO MUCE 2013/2014
Agustino, Alpha M.

No comments:

Post a Comment