MECHI KALI KATI YA MWAKA WA TATU NA MWAKA WA PILI/WAKWANZA
Mechi kali imechezwa hapa chuoni kati ya mwaka wa tatu na mwaka wa pili wakishirikiana na mwaka wa kwanza. hadi mwisho wa mchezo magoli yalikuwa 2-2 ndipo matuta yalipoamua mwaka wa pili kuwa ni washindi kwa penalti 4-3. Shukrani kwa vodacom kudhamini bonanza hili ambalo mshindi wa kwanza na wapili wamepata zawadi. Mpira wa Wavu (volleyball) mwaka wa tatu waliibuka washindi, huku mpira wa pete (Netball) mwaka wa pili wakiibuka washindi.Taarifa na Waziri wa habari DARUSO MUCE 2013/2014. Agustino, Alpha M (Picha Chalamila, Mbunge wa IS)
oyeeeeeeeeeeee scond year
ReplyDelete